#Local News

SERIKALI YATANGAZA MSAADA MAENEO KAME

Ni afueni kwa zaidi ya watu milioni 1.7 wanaokabiliwa na uhaba wa chakula katika maeneo kame baada ya serikali kutangaza mpango wa dharura wa kusambaza chakula kwa wakazi wa maeneo hayo.

Hii ni baada ya Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku kufanya mkutano na makamishna wa kaunti kame 23 na washikadau wengine ili kupanga njia za kusambaza chakula hicho.

Amewataka maafisa wa utawala kubaini familia zilizo na uhitaji, huku akiwaonya maafisa hao dhidi ya kuutumia visivyo msaada huo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI YATANGAZA MSAADA MAENEO KAME

MAHANGAIKO YA SHA SIKU YA PILI

SERIKALI YATANGAZA MSAADA MAENEO KAME

RAILA ADOKEZA KUGOMBEA URAIS 2027

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *