#Local News

MAKURUTU WA POLISI KUANZA MAFUNZO

Jumla ya vijana 10,000 kote nchini waliofaulu kujiunga na idara ya polisi kwenye usajili wa hapo jana wameratibiwa kuanza mafunzo yao hivi karibuni kwa lengo la kuimarisha usalama wa taifa.

Kulingana na Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja, naibu wake Eliud Lagat na mkurugenzi wa idara ya upelelezi DCI Mohammed Amin, vijana hao watajaza si tu pengo kwenye idara hiyo, bali watasaidia katika utekelezaji wa mageuzi kwenye idara ya polisi.

Hata hivyo, baadhi ya vijana waliokosa kusajiliwa wameibua madai ya ubaguzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAKURUTU WA POLISI KUANZA MAFUNZO

SERIKALI YACHUNGUZA UDUKUZI DHIDI YAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *