GAVANA NATEMBEYA AWATAKA WAKUSANYAJI USHURU WA KAUNTI KUTIA BIDII

Gavana wa kaunti ya Transnzoia George natembeya amewaagiza maafisa wa kaunti wa kutoza kodi kuongeza juhudi zao za kukusanya kodi na kufikisha bilioni sita ili kufathili miradi ya maendeleo.
Natembeya amewaonya maafisa wanaofuja fedha za umma kwamba watakabiliwa kwa mujibu wa sheria.
Imetayarishwa na Janice Marete