NANI KAMUUA HASSAN?
Meneja wa duka moja kuu mjini Naivasha Hassan Salim ameuliwa ,mwili wake umepatikana nyumbani kwake ukiwa umeloa damu.
Kwa mujibu wa polisi mwendazake alionekana mara ya mwisho jumanne usiku alipokuwa akitoka kazini
Mwili wake ulikuwa na majeraha ya kukatwa umepelekwa katika hifadhi ya mahiti ukisubiri kufanyiwa upasuaji.
Imetayarishwa na: Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































