#Local News

WABUNGE KUJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAANDAMANO

Wabunge wameratibiwa kujadili na kupigia kura pendekezo la marekebisho ya sheria inayohusu maandamano linalolenga kuzuia uvamizi na taasisi nyingine za serikali wakati wa maandamano nchini.

Mswada huo uliopendekezwa na mwakilishi wa kike wa kaunti ya Nairobi Esther Passaris mbele ya kamati ya usalama na utawala, tayari umeanza kupata uungwaji mkono wa wabunge.

Miongoni mwa mapendekezo kwenye mswada huo ni kuharamisha maandamano mita 100 mraba katika maeneo yaliyohifadhiwa kama vile bunge na Ikulu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *