SENETA CHERARGEI ATAKA KUONDOLEWA AFISINI MURKOMEN
Seneta wa Nandi Samson Cherargei anataka kuondolewa afisini kwa waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akidai kuwa amefeli katika majukumu yake.
Cherargei badala yake anapendekeza nafasi hiyo kurejeshewa naibu wa rais Kithure Kindiki anayesema alipohudumu katika wizara hiyo visa vya uhalifu vilipungua.
Imetayarishwa na Maureen Amakhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































