#Local News

MAUAJI YA KIJINSIA: RUTO ATAOA AMRI

Katika juhudi za kukabili visa vya mauaji dhidi ya jinsia ya kike ambavyo vimeongezeka nchini na kuzua hofu, Rais William Ruto amehimiza ushirikiano wa wakenya Wote katika kuwakabili wahusika wa mauaji hayo.

Akikiri ongezeko la mauaji dhidi ya wanawake na wasichana, Rais ameiagiza idara ya upelelezi DCI na idara ya usalama kwa jumla kuhakikisha wahusika wanawajibishwa kisheria.

Aidha, amewataka wakenya kuwa waangalifu wanapotangamana na watu wasiowafahamu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAUAJI YA KIJINSIA: RUTO ATAOA AMRI

SIJAKUWA NA MSAIDIZI, RAIS RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *