DUALE AKANUSHI KUSHIRIKA DATA ZA KIBINAFSI
Waziri wa afya Aden Duale amekanusha madai kwamba kenya itashiriki rekodi za kibinafsi za matibabu na marekani chini ya mfumo mpya wa ushirikiano wa afya wa kenya na marekani.
Duale amesisitiza kuwa makubaliano hayo yanaruhusu tu ubadilishanaji wa data iliyojumlishwa ya afya, akisisitiza kwamba hakuna vitambulisho vya kipekee vya kibinafsi ikiwa ni pamoja na faili za matibabu vitapatikana kwa serikali ya marekani.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































