#Local News

NIMROD AJIKAANGA KITUI

Chama cha Wiper kimeshutumu kauli za mbunge wa Kitui East Nimrod Mbai kuhusiana na kauli zake kwamba mtu yeyote atakayemkosea heshima Rais William Ruto eneo hilo hatahakikishiwa uhuru wake, kauli ambazo zimehusishwa na kushambuliwa kwa mwakilishi wadi maalum Jacinter Mwoni.

Kupitia taarifa ya katibu mkuu wa chama hicho Shakila Abdallah, Wiper imetaja tukio hilo kuwa dhuluma ya kijinsia kwenye siasa.

Haya yanajiri huku naibu Rais Kithure Kindiki akiratibiwa kuzuru eneo hilo hii leo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NIMROD AJIKAANGA KITUI

RUTO AWAPA MAGAVANA JUKUMU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *