RUTO; HONGERA TIMU KENYA

Rais williamRuto amewapomgeza wanariatha waliowakilisha kenya katika michezo ya Olimpiki iliyokamilika wiki iliyopita huko mjini Paris ufaransa.
Akizungumza katika ikulu ndogo ya Eldoret ruto amesema kuwa wanariatha hao wameletea taifa la Kenya Fahari kubwa sana na kwamba wakenya wote wanapaswa kuwashukuru badala ya kuwarushia maneno ya dharau na kejeli.
Imetayarishwa na Janice Marete