WATOTO MILIONI 20 KUPEWA CHANJO DHIDI YA TYPHOID

Serikali inalenga watoto milioni 20 kote nchini katika kampeni ya kutoa chanjo ya kuzuia homa ya matumbo yaani typhoid pamoja na ugonjwa wa ukambi na surua.
Mkurugenzi wa afya Dkt Patrick Amoth anasema chanjo hiyo itatolewa kwa watoto walio kati ya miezi 9 hadi miaka 14.
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe