#Local News

RUTO AWAJIBU WANAOMTAKA AONDOKE

Wanaomtaka rais William ruto kuondoka mamlakani wameshauriwa kutumia mbinu zinazokubalika kisheria.

Akizungumzia machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya jumatano rais William Ruto anasema katiba iko wazi kuhusu hatamu za uongozi na kuwataka wanaolenga kuchukua uongozi kuuza sera zao kwa wakenya na kusubiri wakati wa uchaguzi.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *