SAKAJA AAGIZA MSAKO WA WAENDESHA BODABODA WAZEMBE
Gavana wa nairobi johnson sakaja ameagiza msako mkali dhidi ya waendesha bodaboda wazembe jijini Nairobi.
Akizungumza katika jukwaa la usalama jijini sakaja ameelezea wasiwasi wake kongezeka kwa uendeshaji wa kiholela wa bodaboda jijini, huku polisi wakipuuza vitendo hivyo.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































