#Local News

KIPENGA CHA KAMPENI CHAPULIZWA

Kampeni za chaguzi ndogo zitakazoandaliwa katika maeneo mbali mbali mwezi ujao zimeanza rasmi baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuwaidhinisha wawaniaji wa vyama mbali mbali kugombea nyadhifa kwenye chaguzi hizo.

Miongoni mwa wawaniaji walioidhinishwa ni Boyd Were, anayelenga kujaza nafasi iliyoachwa na babake Ong’ondo Were kama mbunge wa Kasipul kupitia tiketi ya ODM.

ODM imetangaza kufanya kila iwezalo kutetea kiti hicho, huku DAP-K ikianza kampeni za mwaniaji wao Seth Panyako katika eneo bunge la Malava.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KIPENGA CHA KAMPENI CHAPULIZWA

WAHADHIRI WATISHIA KUVURUGA SULUHU

KIPENGA CHA KAMPENI CHAPULIZWA

FKF YATANGAZA UAJIRI KWA JUNIOR STARS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *