#Local News

SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI BEI YA DAWA NCHINI

Wataalamu wa muungano wa kitaifa wa wanaphamacia wametoa wito kwa serikali kuanza kudhibiti bei za dawa sawasawa na jinsi ilivyo katika mataifa yaliyostawi.

Wakiongozwa na Kamama Wamuricha rais wa muungano huo wamesema kuwa wagonjwa wengi ufariki dunia kwa kushindwa kumudu gharama ya dawa licha ya kuwa na hitaji kubwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *