CHANJO ZAWASILI NCHINI

Ni afueni kwa wakenya na hasa kina mama walio na watoto baada ya kuwasili kwa chanjo aina ya BCG na ile ya Polio zilizokuwa zimeripotiwa kupungua nchini.
Katibu katika wizara ya afya Dkt Ouma oluga amepokea dozi milioni 3.2 za chanjo ya Polio na nyingine milioni 3 za BCG.
Imetayrishwa na Maureen Amakhobe