#Local News

ODM?: HUENDA TUKAJIONDAO SERIKALINI

Chama cha ODM kimesisitiza kuwa hakina makubaliano yoyote ya kisiasa na UDA, tofauti na madai kwamba ODM iliingia serikali baad ya kutiwa saini mkataba wa ushirikiano kati ya aliyekuwa kinara wa ODM Raila Odinga na Rais William Ruto.

Kwenye mahojiana na kituo kimoja cha habari nchini, naibu kinara wa ODM Abdulswamad Nassir, amesema chama hicho kitajiondoa kwenye ushirikiano iwapo Ruto atashindwa kutekeleza ajenda 10 walizoafikiana.

Kauli yake inajiri huku kaimu kinara wa ODM Oburu Odinga akiongoza mkutano wa kusaka mwelekeo wa chama hicho.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODM?: HUENDA TUKAJIONDAO SERIKALINI

BABU OWINO MAHAKAMANI KUPINGA SHERIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *