#uncategorized

NATEMBEA NA WETANGULA KUKUTANA LEO

Spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula ,waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen , maseneta na wabunge wa muungano wa kenya kwanza wanatarajiwa kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa fedha za basari eneo la Cherengani kaunti ya Transnzoia.


Katika mkutano huo swala la mswada wa fedha 2024-2025 unatarajiwa kuangaziwa na lile la mgomo wa walimu wa JSS jinsi umeadhiri masomo shuleni na mikakati inayofaa kuwekwa kusitisha mgomo huo ili walimu hao warejee shuleni.


Swala jingine ambalo linatarajiwa kuangaziwa na ambalo litachipuza ubabe wa kisiasa kati ya wetangula na gavana wa kaunti hiyo George Natembea kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa eneo la magharibi ya nchi.

Imetayarishwa na: Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *