KALONZO KUSITISHA UUZAJI WA HISA
Kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka ameapa kusitisha uuzaji wa hisa za kampuni ya mawasiliano nchini.
Kiongozi huyo ameahidi kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha kwa mpango ulioratibiwa na serikali wa kuuza hisa hizo unasitishwa.
Aidha ameonya kwamba hatua hiyo inahyatarisha mali na uwekezaji wa taifa.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































