NANI ALIYEMUUA MBUNGE WA ZAMANI WA KABETE GEORGE MUCHAI?

Vikao vya kusikiliza kesi ya mauaji dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Kabete George Muchai vinarejelewa leo hii
Washukiwa sita walioshitakiwa kufuatia mauaji hayo, Eric Isabwa, Raphael Kimani, Mustapha Kimani , Jane Wanjiru, ,washukiwa hao walifunguliwa mashtaka mwaka wa 2015 kesi hiyo ilipoanza rasmi,
Sita hao hata hivyo walikana mashtaka dhidi yao na kesema kwamba hawakuhusika katika mauaji ya mbunge huyo , walinzi wake 2 na dereza
Mwanapatholojia mkuu wa serikali dkt Johson Oduor aliwasilisha Ushahidi wake mwaka jana akisema muchai alipigwa risasi kwa karibu sana kutua bastola aina ya g3 au bunduki aina ya ak47