WAKAZI WA MAGHARIBI WATOA UJUMBE WA RAIS RUTO
Ziara ya Rais William Ruto katika eneo la Magharibi mwa nchi imeendelea kwa siku ya pili huku wakazi wakimtaka Rais kutimiza ahadi zake kuhusu utekelezaji wa miradi eneo hilo.
Baada ya kikao na viongozi wa eneo hilo kwenye Ikulu ndogo ya Kakamega, Rais anatarajiwa kuongoza uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme mashinani katika eneo bunge la Shinyalu.
Hata hivyo, wakazi wamelalamikia kukwamba kwa baadhi ya miradi iliyozinduliwa na serikali kuu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































