#Local News

HOSPITALI KANGUNDO YAKOSA DAWA, MAJI

Wagonjwa wanaotafuta huduma za kimatibabu katika hospitali ya Kangundo level 4 wamelazimika kutafuta dawa nje ya hospitali hiyo kutokana na uhaba wa dawa hospitalini humo, wagonjwa wakiripoti kukosa huduma za bidhaa muhimu kama vile maji.

Hali hiyo imewalazimu viongozi akiwemo seneta wa Machakos Agnes Kavindu kufika hospitalini humo na kuutaka usimamizi wa hospitali kuwajibika na kuhakisha wagonjwa wanahudumiwa.

Hata hivyo, usimamizi wa hospitali umekanusha madai mbali mbali ikiwemo gharama za juu kwa huduma za ambulensi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HOSPITALI KANGUNDO YAKOSA DAWA, MAJI

SERIKALI KUDHIBITI ZIARA ZA MAWAZIRI

HOSPITALI KANGUNDO YAKOSA DAWA, MAJI

KAPKEA KUPOKEA IDHINI KUWA NAIBU GAVANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *