SPIKA WETANGULA KUANDAA KAMKUJI JUMANNE

Spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula ataandaa mkutano wa kamkunji siku ya jumanne wiki ijayo kujadili changamoto zinazozingira mfumo wa ufathili wa elimu ya juu baada ya wabunge wengi kuibua maswali mengi kuhusiana na mfumo huo.
Mwenyekiti wa kamati ya elimu Juliu7s Meli atatoa ripoti ya kina kuhusiana na mfumo huo baada ya kukutana na maafisa katika wizara ya elimu.
Imetayarishwa na Janice Marete