NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA AWAHAKIKISHIA WAKAAZI WA LAIKIPIA USALAMA
Naibu wa rais Rigathi Gachagua amewataka maafisa wa usalama katika kaunti ya Laikipia kuimarisha usalama katika kaunti hiyo.
Kwa mujibu wa Gachagua rais William Ruto amejitolea kutimiza ahadi aliyotoa ya kumaliza utovu wa usalama katika kaunti hiyo ya Laikipia.
Ameogeza kuwa serikali imeweka mikakati ya kukomesha visa vya uvamizi wa wanyamapori karibu na mbuga za wanyama.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































