TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUPUNGUZA MATUMIZI
Mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro ametoa wito kwa taasisi za umma kutafuta namna ya kupunguza gharama ili huduma muhimu za umma zipewe kipaumbele kwa kutengewa bajeti.
Kwa mujibu wa Nyoro kamati ya fedha Pamoja na hazina ya Taifa wanatafuta namna ya kuainisha matumizi ya fedha za umma ikiwemo kupunguza posho za wabunge.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































