#Local News

KAUNTI YA MURANG’A KUWAPA WAFANYIKAZI BIMA YA AFYA

Serikali ya kaunti ya Murang’a imetangaza mipango ya kuwapa wafanyikazi wake bima ya matibabu kwa sekta ya kibinafsi mara tu Hazina ya Bima ya Afya ya Jamii (SHIF) itakapoanza kutekelezwa.


Utawala wa kaunti pia unapanga kusambaza baadhi ya vipengele vya mpango wake wa bima ya matibabu bila malipo unaojulikana kama Kang’ata Care kwa sekta ya kibinafsi.


Kwa mujibu wa serikali ya kaunti ya Muranga vipengele ambavyo kwa sasa vinashughulikiwa na NHIF havitagharamiwa na SHIF ambayo imepangwa kutekelezwa na serikali ya kitaifa.


Chini ya mpango huo, walengwa hupata huduma za wagonjwa wa nje na za nje bila malipo pamoja na huduma za macho na meno

Imetayarishwa na Janice Marete

KAUNTI YA MURANG’A KUWAPA WAFANYIKAZI BIMA YA AFYA

IDARA YA MAJANGA YAONYA KUHUSU HALI MBAYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *