HATIMA YA GAVANA MWANGAZA YAANZA KUJADILIWA NA SENETI
Vikao vya kujadili hoja ya kumbandua mamlakani gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza vinaendelea katika Bunge la Seneti.
Gavana mwangaza anawakilishwa na mawakili sita katika kesi inayomkabili hii ikiwa mara ya tatu kwa gavana huyo kubanduliwa mamlakani na bunge la aunti ya meru.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































