BADILISHENI VITAMBULISHO; BITOK ASEMA

Julius Bitok katibu katika wizara ya uamiaji amesema kuwa kila mkenya atahitajika kuwa na kitambulisho cha kitaifa cha kisasa kinachojulikana nkama maisha Crad.
Kwa mujibu wa balozi Bitok serikali imeweka mikakati ya kiutosha kuhakikisha kwamba wananchi wanapata vitambulisho hivyo vya kisasa ili kudumisha usalama na kwamba kitambulisho hicho kitakuwa kinabadilishwa baada ya muda fulani.
Imetayarishwa na Janice Marete