TUZO YA 10,000 KWA WAKUSAJI WA AFYA

Serikali itafanya kazi na washirika ili kuongeza ukuzaji wa afya ya jamii na utunzaji wa kinga.
Katibu katika wizara ya afya ya umma Mary Muthoni anasema kuwa kutakuweko na tuzo ya mwezi kwa wakuzaji ya shilingi 10,000 ili kuwahamasisha kusajili wakenya zaidi.
Imetayarishwa na Janice Marete