DCI YACHUNGUZA MAUAJI YA MWANAMKE EMBAKASI
Maafisa wa DCI wanachunguza mauaji ya mwanamke anayedaiwa kunyongwa na wanaume wawili eneo la Jua Kali, Embakasi kaunti ya Nairobi.
Kisa hiki kinaangazia ongezeko la mauaji ya wanawake, huku visa 97 vikiripotiwa ndani ya miezi mitatu.
Mwili wake umepelekwa kwenye hifathi ya maiti kwa uchunguzi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































