GAVANA WA BUSIA ALALAMIKIA UPUNGUFU WA USHURU UNAOKUSANYWA KUTOKA KWA HOSIPITALI ZA UMMA KAUNTI HIYO
Wakaazi wa kaunti ya Busia wamelazimika kutafuta huduma za matibabu katika kaunti zingine kufuatia huduma duni katika hosipitali za umma za kaunti hiyo.
Gavana wa kaunti hiyo Paul Otuoma amelalamikia kupungua kwa ushuru unaokusanywa kutoka kwa hosipitali za umma za kaunti hiyo kufuataia huduma duni zinazochangiwa na migomo ya mara kwa mara ya wahudumu wa afya.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































