VIPENGELE VINGINE HAVIKUWEKO KATIKA MSWADA;MBUNGE SEME ASEMA

Mbunge wa seme James Nyikal amesema kuwa kuna mapendekezo mapya yaliyopendekezwa katika mswada wa fedha na kuchangia ghathabu ya wakenya dhidi ya mswada huoNyikal ametaja kipengele cha kuongeza ada katika bei ya mafuta kwamba akikuwepo katika mswada hapo awali.
Imetayarishwa na Janice Marete.