#Football #Sports

MECHI ZA EUROPA: ASTON VILLA WASAKA USHINDI

Michuano ya Ligi ya Europa itaandaliwa usiku wa Leo huku timu kadhaa zikipania kujiweka sawa katika mkondo wa kwanza wa mechi hizo. Saa tatu kasorobo itashuhudia mechi kadhaa ikiwemo Stutgart dhidi ya Porto, Bologna wavaane na Roma, huku Lille ya Ufaransa wakipambana na Aston Villa. Saa tano itashuhudia Nottingham Forest wakicheza dhidi ya Midjylland, Genk watatoana jasho na Freiburg kisha Celta Vigo wakaribishe Lyon ya Ufaransa.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *