NIA YATAKA MAWAZIRI WA ZAMANI WACHUNGUZWE NA EACC

Mashirika ya kijamii (National Integrity Alliance) sasa yanaitaka tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC kuanzisha uchunguzi dhidi ya mawaziri wote waliongatuliwa mamlakani.
Mashirika hayo yanasema kuwa huenda baadhi ya mawaziri hao walijipatia mali kwa njia za ufisadi hivyo kusaba bisha ubathirifu wa mali ya umma.
Imetayarishwa na Janice Marete