#Local News

RUPHA YASITISHA HUDUMA ZA SHA HOSPITALINI

Wagonjwa wanaotegemea kulipiwa huduma za matibabu na mamlaka ya afya ya jamii SHA katika hospitali za kibinafsi watalazimika kulipa pesa taslimu baada ya hospitali hizo kukataa kutumia bima ya SHA.

Kupitia taarifa, muungano wa hospitali hizo RUPHA umesema agizo hilo linaanza kutekelezwa hii leo, ukisema umechukua hatua hiyo baada ya SHA kuchelewesha malipo yao na hivyo kutatiza huduma zao.

Kulingana na RUPHA, hatua hiyo inalenga kuhakikisha kwamba hospitali za kibinafsi zinaendelea na shughuli zao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUPHA YASITISHA HUDUMA ZA SHA HOSPITALINI

WAGONJWA WALIOPONA WAZUILIWA MTRH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *