RUKU ATOA WITO WA KUFAFANULIWA UPYA KWA UTUMISHI WA UMA
Waziri wa utumishi wa umma, Geoffrey Ruku , ametoa wito kwa serikali za Afrika kufafanua upya jukumu la utumishi wa umma kama swala kuu katika mageuzi ya kiuchumi barani Afrika.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa programu ya utawala bora wa kiuchumi jijini Nairobi, Ruku amesema ustawi wa Afrika unategemea utawala bora, uvumbuzi na uongozi wa kimaadili.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































