FAMILIA ZA MITAANI ZAONGEZEKA MJINI MOMBASA

Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti ya Mombasa ambao wamekuwa wakiangaishwa na familia za mitaani na kusababisha ghasia katika mji wa pwani baada ya serikali ya kaunti kuanzisha msako wa familia hizo ambazo zimazidi kuongezeka katika mitaa yote mikuu katikati mwa jiji huku wengine wao wakikdaiwa kuwaibia wakaazi.
Abdala Daleno afisa anayesimamia utawala amewahakikishia wakazi usalama wao.
Imetayarishwa na Janice Marete