#Local News

GACHAGUA: MAHAKAMA YAAGIZA AWAMU YA PILI YA VIKAO

Hoja ya kubanduliwa kutoka afisini naibu Rais Rigathi Gachagua inaendelea kukumbwa na utata, mahakama sasa ikiamuru bunge la kitaifa kuandaa awamu ya pili ya vikao vya kukusanya maoni ya wakenya kuhusu hoja hiyo katika kila eneo bunge ili kuwaruhusu wakenya wote kutoa maoni yao.

Akitoa uamuzi huo, jaji wa mahakama ya Kerugoya Richard Mwongo, ameagiza kwamba vikao hivyo si vya kufumba macho tu ila vinafaa kuchukuliwa kwa uzito, na kwamba vinafaa kuendeshwa kwa njia itakayoeleweka kwa urahisi na wananchi.

Aidha, amemuru kwamba vikao vya leo viendelee kama ilivyopangwa, ila vichukuliwe kama awamu ya kwanza.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: MAHAKAMA YAAGIZA AWAMU YA PILI YA VIKAO

SERIKALI YATOA BILIONI 18 ZA KUJENGA MADARASA

GACHAGUA: MAHAKAMA YAAGIZA AWAMU YA PILI YA VIKAO

MAANDALIZI YA MITIHANI TAYARI, KNEC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *