#Local News MUTURI HAKUFUTWA, OWINO ADAI Hisia mbali mbali zimeendelea kutolewa kuhusiana na hatua ya rais William Ruto kumtimua waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi Manasseh Wekesa / 5 hours Comment (0) (2)
#Local News UTEUZI WA MAKAMISHNA WA IEBC WAANZA Zoezi la kuwahoji wawaniaji wanaotaka kuwa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC limeanza hii leo, ikiwa ni Manasseh Wekesa / 6 hours Comment (0) (4)
#Local News MAKATIBU WAKUU WATEULE KUHOJIWA APRILI Wakenya 14 walioteuliwa na Rais William Ruto maajuzi kuwa makatibu wakuu katika wizara mbali mbali watahojiwa na kamati husika za Manasseh Wekesa / 7 hours Comment (0) (7)
#Local News USIMAMIZI WA JKUAT, KU WAFIKA MBELE YA PIC Usimamizi wa vyuo vikuu vya JKUAT na Kenyatta umekuwa na wakati mgumu kueleza jinsi fedha zilitumika vyuoni humo mbele ya Manasseh Wekesa / 24 hours Comment (0) (4)
#Local News RUTO AKUTANA NA VIONGOZI WA MAGHARIBI Rais William Ruto amefanya kikao na viongozi wa eneo la Magharibi mwa nchi akiwemo spika wa bunge la kitaifa Moses Manasseh Wekesa / 24 hours Comment (0) (3)
#Local News RAIS RUTO AMFUTA MUTURI KAZI, MAGEUZI ZAIDI Rais William Ruto amemfuta kazi waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi, na kumteua mbunge wa Mbeere North Geoffrey Ruku Manasseh Wekesa / 24 hours Comment (0) (8)
#Local News MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA WAJOMBA Polisi Nyamira wanachunguza kifo cha Brian Mogaka (22), aliyefariki baada ya kupigwa viboko na mjomba zake katika kijiji cha Nyankono, Manasseh Wekesa / 1 day Comment (0) (5)
#Local News AFUENI YA MASOMO WEBUYE EAST Ni afueni kwa wanafunzi wa vyuo vya anuai na vile vya utabibu katika eneo bunge la Webuye Mashariki baada ya Manasseh Wekesa / 2 days Comment (0) (4)
#Local News FAMILIA YAFURUSHA POLISI MWEA Wakazi wa Mwea kaunti ya Kirinyaga wamepatwa na mshangao baada ya kituo cha polisi cha Riandira kufungwa na maafisa wote Manasseh Wekesa / 2 days Comment (0) (7)
#Local News WAKAZI MUMIAS WAMTETEA SALASYA Wakazi wa eneo la Mumias Mashariki wamejitokeza kukosoa hatua ya mbunge wao Peter Salasya kufurushwa na hata kujeruhiwa na kundi Manasseh Wekesa / 2 days Comment (0) (7)