#Local News

OGAMBA AWATAKA WALIMU KASKAZINI KUVUMILIA

Walimu wanaohudumu katika maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Kenya waliotaka kuhamishwa kutokana na utovu wa usalama wametakiwa kuwa watulivu serikali inapoimarisha usalama.

Waziri wa Elimu Julius Ogamba, amesema serikali itazingatia maombi ya walimu hao iwapo visa vya utovu wa usalama vitaongezeka, ila akawahakikishia usalama kutoka kwa serikali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

It made a big impression on testers

OGAMBA AWATAKA WALIMU KASKAZINI KUVUMILIA

RUTO AAMURU POLISI KULINDA MAKANISA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *