#Local News

MIMBA ZA MAPEMA CHANGAMOTO KWA SHA BUNGOMA, SERIKALI

Wasichana kujifungua wakiwa katika umri mchanga wa kabla ya miaka 18 imetajwa kuwa changamoto kuu kwa utekelezaji wa mfumo mpya wa usimamizi wa afya SHA katika kaunti ya Bungoma, serikali kuu ikitakiwa kubuni sera zitakazowashughulikia wasichana hao katika kulipia ada za kujifungua.

Kulingana na msimamizi wa SHA kwenye kaunti hiyo Martin Kiprop, serikali inazidisha juhudi za kuondoa baadhi ya changamoto, na kuongeza kuwa baadhi ya akina mama wachanga wanazuiliwa baada ya kujifungua kutokana na ukosefu wa sera inayowezesha kulipia ada zao na mamlaka hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MIMBA ZA MAPEMA CHANGAMOTO KWA SHA BUNGOMA, SERIKALI

TIMIZENI AHADI, WALIMU KWA SERIKALI

MIMBA ZA MAPEMA CHANGAMOTO KWA SHA BUNGOMA, SERIKALI

KEPSHA: JSS IMETUONGEZA MZIGO, TUTAMBUENI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *