RUTO ABASHIRI USTAWI WA KENYA
Kenya itafikia viwango vya maendeleo ya mataifa ya Uchina na Singapore kufikia mwaka wa 2055.
Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto, akisema hayo yataafikiwa kupitia mshikamano wa nchi, hasa kutokana na juhudi zake za kuwajumuisha mahasimu wake wa kisiasa serikalini.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































