#Local News

WAKAZI WAVAMIA POLISI GACHIE

Wakazi wa Kijiji cha Gachie kaunti ya Kiambu wamevamia kituo cha polisi cha Gachie kudai chakula cha msaada ambacho kimekuwa kikihifadhiwa ndani ya kituo hicho.

Chakula hicho ambacho kimekuwepo kwa miezi kadhaa sasa, kilitolewa kwa ajili ya waathiriwa wa mafuriko, wakazi wakisema juhudi zao kupata chakula hicho zimefeli kila mara.

Hata hivyo, maafisa wa utawala na afisa wa chama cha ustawi wa Watoto eneo hilo Mary Wambui wamesema idara imekuwa ikipakia chakula hicho kwa mafungu kabla ya kuwapokeza wanufaika

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAKAZI WAVAMIA POLISI GACHIE

USHURU MTALIPA, MAHAKAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *