VIONGOZI WAMEWAHIMIZA WAKAAZI WA KASIPUL KUDUMISHA AMANI WAKATI HUU WA UCHAGUZI MDOGO
Baadhi ya viongozi wa kisiasa wamewahimiza wananchi kudumisha amani na maridhiano wakati wa kampeni za uchaguzi ndogo katika eneo bunge la kasipul kaunti ya Homa Bay.
Haya yanajiri baada ya makabiliano yaliyoshuhudiwa katika eneo la Opondo ambapo vijana wawili waliuwawa na wengine watatu kujeruhiwa
Hata hivyo mwenyekiti wa chama cha ODM Gladys Wanga amekashifu kitendo hicho akiwataka wakaazi kudumisha amani na umoja.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































