#Local News

WABUNGE WAANZA KUJADILI MSWADA WA FEDHA 2024 SIKU YA 1

Vikao vya bunge kujadili kuhusu Mswada wa Fedha, 2024, ambao unaelezea safu ya hatua za kuongeza mapato kwa utawala wa Rais William Ruto vimeanza.

Wabunge wanatarajiwa kuujadili Muswada huo hadi saa 9:30 alasiri ambapo wanatarajiwa kutoa maoni yao kuhusu kile wanachotoa kuhusu yaliyomo katika mswada huo.

Jana Jumanne, Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula aliwataka wabunge hao kusoma mswada na ripoti ya kamati ili kufanya mjadala unaofaa.

Ripoti ya kamati inatoa mwelekeo wa marekebisho mbalimbali yanayopendekezwa na upande wa serikali huku Mswada ukiweka msingi wa hatua za kodi.

Imetayarishwa na Janice Marete

WABUNGE WAANZA KUJADILI MSWADA WA FEDHA 2024 SIKU YA 1

WAMALWA: MLIKOPA MKALISHA NANI?

WABUNGE WAANZA KUJADILI MSWADA WA FEDHA 2024 SIKU YA 1

“HATUELEWANI, DAWA IKO!”- NAKURU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *