SERIKALI YAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA KILIMO

Serikali kupitia wizara ya kilimo imeweka mikakati ya kuimarisha sekta hiyo ili kuafiki utoshelezi wa chakula nchini.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari kwenye kongamano lililowaleta Pamoja wakulima na washikadau wengine katika sekta hiyo lililofanyika katika chuo kikuu cha kibabi kaunti ya Bungoma katibu wa wizara ya kilimo Jonathan Mueke anasema serikali imejitolea kuwasaidia wakulima kufaidi mazao yao ya shambani vile vile usalama wa chakula nchini.
Imetayarishwa na Janice Marete