AJIUA KWA KUNYIMWA ELFU KUMI
Mwanaumme mmoja eneo la malava kaunti ya kakamega amejiua kwa kubugia sumu baada ya kutofautiana na babaye mzazi kuhusu kumwongeza pesa za kununua ngombe wa kuchinja katika mazishi ya mamake.
Kwa mujibu wa bibi zake wawili marehemu ambaye ametambulika kama Simon Chumbe baba wa Watoto 15 alianza kupiga nduru alkilia baada ya babaye kukosa kumwongeza shilingi 10,000 kwa ajili ya kununua ngombe huyo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































