#Local News

SERIKALI: REJESHENI MITUNGI YA CYANIDE

Wizara ya afya imetoa tahadhari na kuwataka watu ambao huedna walichuku mitungi ya kemikali hatari ya Sodium Cyanide wakati wa ajali iliyotokea jana kwenye barabara eneo la kati ya Westlands na Limuru kuirejesha.

Katika taarifa ya hivi punde kuhusu ajali hiyo, katibu mkuu katika wizara hiyo Mary Muthoni amesema maafisa wa wizara hiyo wamefanikiwa kuiondoa kemikali iliyomwagika, na hivyo eneo hilo sasa ni salama kwa binadamu kuzuru au kupita.

Hata hivyo, amehofia kwamba huenda wakazi wamechukua mitungi kadhaa kwani ni 8 pekee kati 24 iliyokuwa ikisafirishwa ndiyo imepatikana.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI: REJESHENI MITUNGI YA CYANIDE

ELIJAH OBEBO AMEAPISHWA KAMA NAIBU GAVANA WA

SERIKALI: REJESHENI MITUNGI YA CYANIDE

LISHE HATARI YAWAUA 4 KITUI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *