#Local News

LSK YAIPONDA IPOA

Rais wa chama cha wanasheria LSK Faith Odhiambo ameikosoa tume ya kucunguza mienendo ya maafisa wa polisi IPOA kufuatia tume hiyo kushindwa kuweka wazi ripoti yake kuhusu mienendo ya polisi wakati wa maandamano ya mwaka jana.

Akizungumza katika jumba la Ufungamano jijini Nairobi kwenye kongamano la LSK na mashirika ya kijamii kuwahamasisha vijana kuhusu haki zao na jinsi ya kupata haki, Odhiambo vile vile amemtaka Inspekta mkuu wa polisi Japheth Koome kung’atuka afisini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

LSK YAIPONDA IPOA

17 WAFARIKI KWENYE AJALI TOFAUTI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *