#Local News

APATIKANA AMEFARIKI KITANDANI KWA MADAI YA KUIBIWA NA MPENZIWE HUKO KAKAMEGA

Maafisa wa upelelezi DCI mjini Kakamega wanachunguza kisa ambapo mwili wa mwanamume wa makamo umegunduliwa ukioza nyumbani kwake, wiki kadhaa baada ya kudaiwa kuuza shamba.

Maafisa wa polisi kutoka Shikhoti wamefika eneo la tukio baada ya kufahamishwa kuhusiana na kisa hicho na nmajirani na kuutoa mwili huo hadi kituo kimoja mjini Kakamega uchunguzi ukianza.

Familia sasa inasubiri matokeo ya uchunguzi wa maiti ili kujua ukweli wa kifo cha jamaa wao.

Imetayarishwa na Janice Marete

APATIKANA AMEFARIKI KITANDANI KWA MADAI YA KUIBIWA NA MPENZIWE HUKO KAKAMEGA

ANGUKA PEKEE YAKO, UDA KWA MALALA

APATIKANA AMEFARIKI KITANDANI KWA MADAI YA KUIBIWA NA MPENZIWE HUKO KAKAMEGA

MUUNGANO WA KNUT BUSIA WATANGAZA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *